Habari za Punde

Waziri Mbarouk azinduwa Gaziti la Michezo Zanzibar.

Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk, akizinduwa Gazeti la Michezo la Shirika la Magazeti ya Serekali Zanzibar Leo, katika ukumbi wa Redio Rahaleo leo.
Kulia Mwenyekiti wa Bodi Ali Mwinyikai na kushoto Mjumbe wa Bodi Salim Awadh na Mhariri Mtendaji wa Shirika la Magazeti ya Serekali Zanzibar Leo Abdalla Mohammed, wakishughudia uzunduzi huo.  
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo, akionesha Gazeti la Michezo la Zaspoti, baada ya kulizinduwa leo katika ukumbi wa Redio Rahaleo.Akiangalia Mjumbe wa Bodi ya Shirika la Magazeti ya Serekali Zanzibar Mhe. Salim Awadh.

Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk, akiwahutubia waandishi  wa Habari na Wafanyakazi wa Gazeti la Zanzibar leo, lililozinduwa.kulia Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Magazeti ya Serekali Zanzibar Ali Mwinyikai, Mjumbe wa Bodi Mhe. Salim Awadh na Mhariri Mtendaji wa Shirika la Magazeti ya Serekali Abdalla Mohammed.

Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Magazeti ya Serekali Ali Mwinyikai, akizungumza machache katika sherehe za Uzinduzi wa Gazeti jipya la Michezo linalochapishwa na Gazeti la Zanzibar Leo.


Wafanyakazi wa Gazeti la Zanzibar Leo, wakisoma gazeti lao jipya la Michezo Zanzpoti, lililozinduliwa na Waziri wa Habari. katika ukumbi wa Redio Rahaleo leo.

Mjumbe wa Bodi ya Shirika la Magazeti ya Serekali Salmin Awadh, akimkabidhi nakala za Gazeti la Michezo Zaspoti, Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Zanzibar Leo Abdalla Mohammed, na anaefuatia Ofisa wa Zanzibar Leo Nasma Chum.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.