Habari za Punde

Elimu na Michezo Sweden - tuna la kujifunza



 Sehemu ya kuogolea kwa watoto kabla hawajaruhusiwa kuogelea kwenye
 bwawa  kubwa
 
 Mtoto Olivia akiwa na baba yake Daniel baada ya kumaliza mashindano. Olivia anaonekana amevaa kitu cha buluu puani ambacho kinamsaidia maji kutokuingia puani wakati wa
Kuogolea
Mmoja wa mtoto aliyeshiriki katika mashindano ya kuogolewa kwa mtindo wa chali Olivia mwenye umri wa miaka 8 ameshikiria cheti chake. Olivia hakufanya vizuri lakini amepewa Cheti ili kumshajiisha

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.