Habari za Punde

Kiwanda cha makonyo Wawi chahusishwa na athari za afya za watoto


Kiwanda cha kuzalisha mafuta ya Makonyo na Arki ya mimea kilicho katikati ya makaazi ya wananchi huko Wawi Wilaya ya Chake chake Kisiwani Pemba, ambapo moshi unaotoka kiwandani, hapo umekuwa ukiripotiwa kuathiri afya za wananchi na hasa watoto waliochini ya miaka mitano (picha na Haji Nassor, Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.