Habari za Punde

Muwape Saccos yarudisha pesa walizokopeshwa


Mwanachama wa ‘MUWAPE SACCOS’ iliopo Wete Pemba, Zuwena Said Bakar kushoto, akirejesha mkopo kwenye SACCOS hiyo, ukipokelewa na mhudumu Fatma Suleiman Khatib kulia, ambapo katika kipindi hiki zaidi ya shilingi 340 milioni, zimetolewa mkopo kwa wanachama 103 wa SACCOS hiyo (picha na Haji Nassor, Pemba)

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.