Habari za Punde

Wajasiriamali wapewa mafunzo ya utengenezaji sabuni Pemba


Wajasiriamali kutoka wa Kisiwani Pemba, wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kumaliza mafunzo ya siku tatu ya utengenezaji wa bidhaa mbali mbali kama vile Jam za ndizi, embe, tungule na utengenezaji wa sabuni mafunzo yaliondaliwa na Kanisa Katoliki la Kilutheri Tanzania (KKKT) na kufadhiliwa na Kanisa linatoa Misaada kutoka Norway (NCA), mwenye tai kutoka kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Ole Rajabu Ali Mbarouk na kuli mwenye tai ni Mbunge wa Jimbo la Ziwani Ahmed Juma Ngwali (picha na Haji Nassor, Pemba)

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.