Habari za Punde

Uzinduzi wa waya wa umeme Fumba

  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Alfonso Lenhardt, wakati wa hafla ya uzinduzi wa waya wa umeme wa megawati 100 huko Fumba Zanzibar


2. Rais wa Zanzibar, Makamu wa Kwanza wa Rais, Makamu wa Pili wa Rais na viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja baada ya uzinduzi wa waya wa umeme wa megawati 100 huko Fumba Zanzibar.
  Viongozi mbali mbali wa kitaifa wakiangalia uzinduzi wa waya mkubwa wa umeme huko Fumba
  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum Mhe. Mansoor Yussuf Himid huko Fumba, wakati wa uzinduzi wa waya wa umeme wa megawati 100
Viongozi wa Kitaifa wakiwa pamoja na watendaji wa ZECO katika hafla ya uzinduzi wa Waya wa Umeme wa Megawati 100 huko Fumba.(Picha na Salmin Said, OMKR

2 comments:

  1. hee!! naona serikali nzima ilikuwepo kuzindua huo uwekaji wa waya?!!!!

    ReplyDelete
  2. Inaonekana Maalim seif makamo wa kwanza wa rais wa jamhuri ya watu wa zanzibar na balozi mkaazi wa tanganyika nchini zanzibar seif ali iddi maelewano si mazuri,kwa muonekano wa hiyo picha hapo juu.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.