Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi (wakatikati)akiwa katika Picha ya pamoja na Mawaziri na watendaji wa Sekta mbalimbali hukokatika Hoteli ya Grand Palace Malindi Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakiwa katika Mkutano wa Makamu wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad alipozungumzia masuala ya utendaji wa Serikali ya Awamu ya Saba pamoja na mambo mengine yanayohusu Zanzibar,katika Hoteli ya Grand Palace Malindi Zanzibar
Meneja wa Baraza la Habari Tanzania Afisi ya Zanzibar (MCT)Suleiman Seif akiuliza maswali kwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi alipokutana na Waandishi wa Habari kuzungumzia masuala ya utendaji wa Serikali ya Awamu ya Saba pamoja na mambo mengine yanayohusu Zanzibar,katika Hoteli ya Grand Palace Malindi Zanzibar. Picha na Yussuf Simai Maelezo
No comments:
Post a Comment