Habari za Punde

Plastic Bags marufuku Zanzibar


 
Serikali ya mapinduzi Zanzibar katika hali ya kudhibiti kikamilifu uharibifu na uchafuzi wa mazingira kisiwani humo iliamua kudhibiti matumizi ya mifuko ya plastiki na aina zote za mifuko hiyo na kuamua kufanya ukaguzi kwa wananchi wote na wageni wanaoingia kisiwani humo kupitia bandari ya Malindi Zanzibar. na pindi uingiapo tu badandarini hapo unakaribishwa na tangazo hilo hapo juu.
 
Picha kwa hisani ya Mroki
 
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.