Habari za Punde

Tume ya Ukimwi Pemba yafanya tathmini juu ya Ukimwi na Unyanyapaa

Kaimu Mratibu wa Tumue ya Ukimwi Zanzibar tawi la Pemba Ali Mbarouk Omar, akifafanua jambo kwenye kikao maalum cha kufanya tathimini juu ya kazi za kupiga vita ungonjwa wa Ukimwi na unyanyapaa, kwa viongozi wa asasi za kiraia Kisiwani Pemba, kikao hicho kilifanyika jana ukumbi wa Tume ya Ukimwi Chake chake Pemba, (picha na Haji Nassor, Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.