Habari za Punde

Dk Shein akutana na watendaji Wizara ya nchi Ofisi ya Rais Fedha,uchumi na mipango

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Uchumi na Mipango ya Maendeleo,katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na RamadhanOthman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.