NAIBU Waziri wa Kazi na Ajira , Dk. Makongoro Mahanga (katikati) akisikiliza mada katika mkutano wa mkutano wa siku tatu wa Mifuko ya Hifadhi ya jamii Afrika mashariki na kati ( ECASSA).Kulia Katibu Mkuu wa taasisi ya hifadhi ya Jamii Tanzania (TSSA), Elias Baruti na Meneja wa utafiti na mafunzo wa ECASSA, Patrick Ngwila, mkutano huo unaofanyika katika Hoteli ya Grand Palace mjini Zanzibar
WASHIRIKI wa Mkutano wa Mifuko ya Hifadhi ya jamii Afrika mashariki na kati ( ECASSA ) wakimsikiliza Naibu Waziri wa Kazi na Ajira Tanzania, Dk.Makongoro Mahanga (hayupo pichani) wakati akifungua mkutano huo katika Hoteli ya Grand Palace mjini Zanzibar.(Picha na Haroub Hussein).
MENEJA wa Utafiti na mafunzo wa taasisi ya Hifadhi ya Jamii Afrika Mashariki na Kati (ECASSA), Patrick Ngwila akizungumza katika mkutano wa ECASSA unaofanyika katika Hoteli ya Grand Palace Mjini Zanzibar
MAKAMU Mwenyekiti wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Jayne Nyimbo akitoa neno la Shukrani baada ya Naibu Waziri wa Kazi na Ajira , Dk. Makongoro Mahanga kuufungua mkutano wa siku tau wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Afrika Mashariki na Kati (ECASSA), unaofanyika katika Hoteli ya Grand Palace mjini Zanzibar.
(Picha zote na Haroub Hussein).
KATIBU Mkuu wa taasisi ya hifadhi ya Jamii Tanzania (TSSA), Elias Baruti akichangia katika mkutano wa siku tatu wa Taasisi ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Afrika Mashariki na Kati (ECASSA).Mkutano huo unafanyika katika Hoteli ya Grand Palace Mjini Zanzibar
NAIBU Waziri wa Kazi na Ajira Tanzania, Dk.Makongoro Mahanga akifungua mkutano wa siku tatu wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Afrika Mashariki na Kati (ECASSA), mkutano huo unafanyika katika Hoteli ya Grand Palace mjini Zanzibar.(
WASHIRIKI wa Mkutano wa Mifuko ya Hifadhi ya jamii Afrika mashariki na kati ( ECASSA ) wakimsikiliza Naibu Waziri wa Kazi na Ajira Tanzania, Dk.Makongoro Mahanga (hayupo pichani) wakati akifungua mkutano huo katika Hoteli ya Grand Palace mjini Zanzibar.(Picha na Haroub Hussein).
WASHIRIKI wa Mkutano wa Mifuko ya Hifadhi ya jamii Afrika mashariki na kati ( ECASSA ) wakimsikiliza Naibu Waziri wa Kazi na Ajira Tanzania, Dk.Makongoro Mahanga (hayupo pichani) wakati akifungua mkutano huo katika Hoteli ya Grand Palace mjini Zanzibar.(Picha na Haroub Hussein).
(Picha zote na Haroub Hussein).
No comments:
Post a Comment