Habari za Punde

Mnara wa kuongezea meli wa Ras Kigomasha wakaguliwa


AFISA Mdhamini Afisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Pemba Al-hajjat Jokha Khamis Makame akipanda mnara wa kuongozea meli uliopo Kigomasha Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, anaeshuka ni Mkurugenzi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Zanzibar, Naimu Ramadhan Pandu wakati ujumbe huo ulipofika huko kwa ajili ya kuangalia utendaji wa kazi wa mnara huo (picha na Haji Nassor, Pemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.