Mratibu wa Kamisheni ya Utamaduni na Michezo Pemba, Juma Ali David, (kulia) akiwapa maelezo wajumbe kutoka Ubalozi wa Japan Nchini Tanzania, juu ya eneo litakalojengwa uwanja wa Michezo ya ndani, huko Gombani Chake Chake Pemba jana, wapili kulia ni Rais wa chama cha Judo Zanzibar,Tsuyoshi Shimahoka (Abdulhalim),akifuatiwa na Afisa Miradi kutoa ubalozi wa Japan Sayaka Morita,
Afisa miradi kutoka ubalozi wa japani nchini tanzania, Sayaka Morita akiwa na rais wa chama cha judo zanzibar Tsuyoshi Shimahoka,(Picha na Abdi Suleiman, Pemba.).
No comments:
Post a Comment