Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Yahya Khamis Hamad, akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali katika ukumbi mdogo wa Baraza Chukwani, kuhusiana na matayarisho ya Mkutano wa Kumi wa Baraza unaotarajiwa kufanyika kesho na kuwasiliswa Maswali na Majibu 117 na Kusomwa Miswada Minne ya Sheria.
Waandishi wa habari wakimsikiliza Katibu wa Baraza akitowa Taarifa ya Kikao cha Baraza.
No comments:
Post a Comment