Habari za Punde

Ajali Kijangwani Salama.

 Wananchi wakiangalia Honda ya maringi matatu ikiwa imeacha njia na kugonga gari iliokuwa pembeni ya barabara ya kijangwani, baada ya kukwepa gari ndogo iliokuwa ikija kwa kasi na kuacha njia kwa kutumia uhodari wa dereva wa pikipiki hiyo kwa ujasiri aliotumia kuikwepa gari hiyo hatimai kuigonga gari aina ya bai lilokuwa likiziba pancha, katika ajali hiyo hakuna mtu aliyejeruhiwa.
Dereva wa pikipiki hiyo akiangalia pikipiki yake bila ya kuamini kama yeye yuku hai kutokana na ajali hiyo, ilimbidi kuendesha kwa ringi mbili kwa kuikwepa gari hiyo ndogo aina ya salon.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.