Habari za Punde

Ali Kibichwa Apata Ushauri wa Kisheria

Kiongozi wa Timu ya Jangombe Boys Ali Otkatikati akipata ushauri wa Kisheria kutoka kwa Mwanasheria wa ZFA Taifa Abdalla Juma kulia na kushoto Mwenyekiti wa ZFA Wilaya ya Mijini Hassan Chura, wakati wa kesi yake ikiendelea katika kituo cha Polisi Mwanakwerekwe kwa hatua zaidi kutokana  na malalamiko yake aliyowasilisha ya kupigwa na Mjumbe wa ZFA Wilaya ya Mjini wakati akitowa malalamiko yake katika kikao halali cha ZFA Wilaya juzi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.