Waandishi wa habari za Michezo Zanzibar wakifuatilia mchezo kati ya Mafunzo na Chuoni.
Mchezaji wa timu ya Mafunzi Ali Juma akimpita beki wa timu ya Chuoni katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Mao, timu ya Chuoni imeshinda 2--0
Mchezaji wa timu ya Mafunzo Juma Othman akimpita beki wa timu ya Chuoni Said Mussa.
Kocha wa timu ya Mafunzo Shaban Ramadhani akiwa kasimama akitfuatilia mchezo wa timu yake wakati ikiwa tayari imeshalala kwa bao 2--0.
Wapenzi wa mchezo wa Soka Zanzibar wakifuatilia mechi ya Ligi Kuu ya Zanzibar kati ya Mafunzo na Chuoni mchezo uliofanyika uwanja wa Mao, timu ya Chuoni imeshinda 2--0
Mchezaji wa timu ya Mafunzo Ali Othman akijiandaa kuzuima mpira na beki wa timu ya Chuoni Makame Haji akijiandaa kumzaia.
Mchezaji wa Timu ya Mafunzo akimlalamikia mshika kibendera kwa kuipendelea timu ya Chuoni katika mchezo huo.
Kocha wa timu ya MafunzoShaban Ramadhani akimpongeza Muumuzi wa mchezo huo baada ya kumaliza mchezo huo kwa timu yake kufungwa na timu ya Chuoni 2--0.
Wachezaji wa timu ya Chuoni waomba dua baada ya kumalizika kwa mchezo wake na timu ya Mafunzo na kutoka kifua mbele kwa mabao 2--0
Kikosi cha timu ya Chuoni kiliizamisha timu ya Mafunzo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Mao kwa 2--0
mmevaa fulana zenye kutangazia vinywaji vya kampuni ya pombe na huku mnaomba dua , hivi kweli mnazo... au hamnazo.......
ReplyDelete