Habari za Punde

Mkurugenzi wa Zan ID Mohammed Juma Ahudhuria Semina ya 'Safe Cities and e-government information for developing countries' China.

Mkurugenzi wa Zanzibar ID.Mohammed Juma, akitowa Mada katika semina hiyo ya
'Safe Cities and E-Government Information for Developing Countries, inayofanyika katika Jiji la Beijing China , kulia ni mkalimali wa lugha akitafsiri kwa kichina.
Rais wa 'Academy for International Business Officials, MOFCOM Mr Zhu Lin, na kushioto Mkurugenzi wa Zanzibar ID, Mohammed Juma Ame wakifuatilia mada zinazotolewa katika semina hiyo'Safe Cities and E-Government Information for Developing Countries,  inayofanyika Nchini China katika Jiji la Beijing . itachukua siku 21

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.