MjumbewaTumeyaMabadilikoyaKatiba, Mhe. Dkt. Salim Ahmed Salim (kulia) akizungumzawakatiwakikao cha uchambuziwamaoniyawananchikuhusuKatibaMpyakilichofanyikaleo (jumanneMachi 26, 2013) katikaOfisizaTumeJijini Dar es Salaam. WengineniWajumbewaTume, Prof. MwesigaBaregu (katikati) na Suleiman Ali.
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mpya Tanzania Humphery Poleple, akizungumza katika kikao cha cha Uchambuzi wa Maoni ya Wananchi kuhusu Katiba Mpya kilichofanyika katika Ofisi za Tume hiyo Jijini Dar-es-Salaam,. Wengine ni Wajumbe wa Tume hiyo Simai Mohammed Said na Dkt Adrian Sengondo Mvungi.
MakamuMwenyekitiwaTumeyaMabadilikoyaKatiba, JajiMkuumstaafuAugustinoRamadhani (kulia) akizungumzawakatiwakikao cha uchambuziwamaoniyawananchikuhusuKatibaMpyakilichofanyikaleo (jumanneMachi 26, 2013) katikaOfisizaTumeJijini Dar es Salaam . KushotoniMjumbewaTume, Dkt. Salim Ahmed Salim.
Nyie chambueni mchakachuwe baadae lakini munajuwa wazanzibari wanachotaka ambalo ni kuachuwa kupumuwa kwa kupewa Zanzibar yao halafu mengine baadae. Mumewasikia na kuwaona wazanzibar waliowengi nyinyi wenyewe wakisemae nini wanataka katika maoni yao.HAKI INABAKI KUWA NI HAKI TU HATA KAMA MIONGONI MWETU HATUIKUBALI KWA HALI AU SABABU YEYOTE ILE TUNAYOHISI KWA UONI AU HISIA ZETU.
ReplyDeleteHATA MUNGU KATIKA VITABU VYOTE AMESEMA AMEUMBA MBINGU NA DUNIA NA WANAOISHI HUMO ILI ITENDEKE HAKI.
NA Waswahili wansema mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni...
kuna kitu si bure hawa wanakipika , sisi tutawalaumu mpaka kwa Mola akina salimu, asaa , salehe , awadhi na wengineo wanaowakilisha znz , ni bora wakajiuzulu ikiwa wanaona haki ya znz kupewa nchi yao inazungushwa au kugeuzwa , ZANZIBAR HURU KAMA SI KWA HIARI BASI MJITAYARISHE KWA NGUVU
ReplyDelete