Wachezaji na Wapenzi wa Timu ya Judo ya Zanzibar wakimshangiria mchezaji wao Masoud Amour ilipokuwa akicheza mchezo na mchezaji kutoka Kenya Georg katika Fainal hiyo..
Mchezaji wa Judo wa Zanzibar Masoud Amour akijaribu kumuagusha mchezaji wa Kenya Goerg katika mchezo wa fainal mchezaji wa Zanzibar ameshinda katika fainal hiyo.
Mchezaji wa Tanzania Bara Gofrey Edward akimuagusha chini na kumdhibiti mchezaji wa timu ya Burundi Halfan Mkurunziza katika mchezo wa Fainali ya Judo Afrika Mashariki mchezaji wa Tanzania ameshinda katika mchezo huo.
Mchezaji wa Burundi Halfan Mkurunziza akimuandusha chini mchezaji wa Tanzania Bara Gofrey katika mchezo huo.
Wachezaji wa timu ya Burundi wakimshangilia mchezaji wao katika michuano hiyo ya Judo Afrika Mashariki yaliofanyika katika ukumbi wa Judoka Amaan.
Mchezaji wa Burundi Kitunda Samuel kulia akijaribu kummiliki mchezaji wa timu ya Kenya Robison Zamora katika mchezo huo, mchezaji wa timu ya burundi ameshinda katika fainal hiyo.
No comments:
Post a Comment