Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kufungua Skuli ya Msingi ya Kidagoni Wilaya Kaskazini A Unguja,alipokuwa katika ziara ya Mkoa wa Kaskazini jana
Wanafunzi waliohudhuria katika ufunguzi wa Skuli ya Msingi ya Kidagini Wilaya ya kaskazini A Unguja,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,alipokuwa akizungumza na Wananchi na wanafunzi,alipofungua Skuli hiyo akiwa katika ziara ya Mkoa wa kaskazini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na Wananchi na Wanafunzi, wa Skuli ya Msingi ya Kidagini Wilaya ya kaskazini A Unguja,baada ya kuifungua Skuli hiyo akiwa katika ziara ya Mkoa wa kaskazini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kuweka jiwe la msingi mradi wa tangi la maji safi na Salama,Kilimani Tazari,alipokuwa katika ziara
ya Mkoa wa kaskazini Unguja,kuangalia maendeleo ya wananchi katika miradi mbali mbali jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati alipokuwa akizungumza na wananchi wa Kilimani Tazari,Wilaya ya kaskazini A Unguja,alipoweka jiwe la msingi mradi wa tangi la maji safi na Salama,akiwa katika ziara ya Mkoa wa kaskazini jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati)alipokuwa akizungumza na wananchi wa Kilimani Tazari,Wilaya ya kaskazini A Unguja,alipoweka jiwe la msingi mradi wa tangi la maji safi na Salama,akiwa katika ziara ya Mkoa wa kaskazini jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiangalia maonesho ya kazi za vikundi vya wajasiriamali wa Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja,alipokuwa katika ziara ya kuangalia maendeleo ya miradi mbali mbali jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea zawadi ya Kijahazi kidogo kutoka wa Sukari Kombo Ali,baada ya kuangalia maonesho ya kazi za vikundi vya wajasiriamali wa Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja,alipokuwa katika ziara ya kuangalia maendeleo ya miradi mbali mbali jana.
Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu
TACA YAIOMBA SERIKALI KUFANYIA MABORESHO SHERIA YA UDALALI
-
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
CHAMA Cha Wanadishaji Tanzania TACA kimeiomba serikali kufanyia maboresho
Sheria inayowaongoza kwa lengo la kusaidia k...
8 hours ago
No comments:
Post a Comment