Habari za Punde

Do you know this man wanted by the Police?

IMEWEKWA NA HAMED MAZROUI

PICHA YA HAPO JUU INAFANAN NA MTU ALIEFANYA MAUWAJI YA PADRI MUSHI YALIOTOKEA HUKO ZANZIBAR TAREHE 17/2/2013 YOYOTE YULE ATAKAEMUONA MTU ANAEFANANA NA PICHA HII ATOE TAARIFA KWA JESHI LA POLISI KATIKA KITUO CHOCHOTE  KILICHOKARIBU  NAE  NA  IWAPO  ITATHIBITIKA  KUWA  NDIO  YEYE  ZAWADI  NONO  YA  SHILING  MILIONI KUMI  ZA  KITANZANIA  ZITATOLEWA KWA MTU  ALIESAIDIA  KUPATIKANA KWAKE.



IMETOLEWA NA KAMISHNA WA JESHI LA POLISI ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.