Unwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, unatowa huduma za Usafiri kwa kuhudumia ndege za aina mbalimbali kwa ukubwa tafauti na kupokea abiria 1000 kwa wakati mmoja bila ya matatizo ya kuwahudumia wanapowasili uwanjani hapo, kama inavyoonekana Ndege kubwa ikishusha wageni na kupata huduma katika kiwanja hicho,
Jengo la Abiria jipya linalojengwa katika uwanja huo wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume likiwa katika hatua kubwa ya ujenzi wake likiwa katika hali ya kusubiri kumaliziwa ujenzi wake na kuaza kutowa huduma za Kimataifa kwa Abiria wanaowasili Zanzibar kwa matembezi.
Ndege ikiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, ikiwa na wageni wanatembelea Zanzibar.
No comments:
Post a Comment