Habari za Punde

RAIS KIKWETE AMWANDALIA DHIFA YA KITAIFA WAZIRI MKUU WA DENMARK

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri Mkuu wa Denmark Mhe. Hell Thorning-Shmidt wakiangalia ngoma za utamaduni za kundi la JKT katika dhifa ya kitaifa aliyomwandalia Ikulu jana usiku
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Waziri Mkuu wa Denmark Mhe. Hell Thorning-Shmidt  katika dhifa ya kitaifa aliyomwandalia Ikulu jana usiku

Waziri Mkuu wa Denmark Mhe. Hell Thorning-Shmidt akiongea wakati wa dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jana usiku
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi ya kinyago cha 'Shetani,  Waziri Mkuu wa Denmark Mhe. Hell Thorning-Shmidt  wakati wa dhifa ya kitaifa aliyomwandalia Ikulu jana usiku 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akigonganasha glasi ya kutakiana afya njema na  Waziri Mkuu wa Denmark Mhe. Hell Thorning-Shmidt  katika dhifa ya kitaifa aliyomwandalia Ikulu jana usiku.(PICHA NA IKULU)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.