Habari za Punde

Biashara Huria Zenj.

Mdau hili ni duka siyo maonesho ya Hapa ni darajani maarufu jua kali wafanyabiashara wakiwa wametandaza viatu barazani kusubiri wateja wa bidhaa hiyo. eneo hilo mara nyingi hufukuzana na askali wa manispa kwa kuwa eneo hilo sio la kufanya biashara ya aina yoyote ile. hapo mwazo wafanyabiashara wa aina hii waliondolewa na kuhamishiwa saateni ili kufanya biashara yao kwa utulivyu zaidi.bila ya bughudha ya kufukusana na askari wa manispa. .

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.