Habari za Punde

Zanzibar ID Yakabidhiwa Vyeti vya Ubora wa Utengenezaji wa Vitambulisho



MKAGUZI wa Kampuni ya Viwango ya ISO Avi Rost, akimkabidhi Cheti cha Ubora wa Utengenezaji wa Vitambulisho kwa Kiwango cha Kimataifa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Joseph Meza,  (kulia) Mkurugenzi wa Idara hya Vitambulisho Zanzibar Mohammed Juma Ame na kushoto Mshauri ISO Merav Vered, makabidhiano hayo yamefanyika katika   Kvya T Kimataifa bherehe hizo zimefanyika katika ukumbi wa hotel ya Zanzibar Ocean View Kilimani.







Mkurugenzi wa Idara ya VitambulishoMohammed Ame akitowa maelezo ya Idara yake katika sherehe za kukabidhiwa  Vyeti Ubora wake.
Mkaguzi wa ISO kutoka Israel Mr.Avi Rost akitowa maelezo ya ukaguzi wa kampuni yao kuhsu ubora wa Vitambulisho vya Mzanzibar  wakati wa sherehe za kukabidhi Vyeti vya Ubora wa Kimataifa wa utengenezaji wa Vitambulisho.
Mshauri ISO Madame Merav Vered. akitowa maelezo ya kubora wa na uimara wa Vitambulisho vya Mzanzibar kwa Kiwango cha Kimataifa, wakati wa sherehe za kukabidhi Vyeti kwa mwaka 2012, katika hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.
Wafanyakazi wa Idara ya Vitambulisho wakifuatilia sherehe hiyo ya kukabidhiwa Vyeti vya Ubora wa Kimataifa
Maofisa wa Idara ya Vitambulisho wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Utawala Bora na Utumishi wa Umma Zanzibar Joseph Meza akihutubia katika hafla hiyo ya kukabidhiwa Vyeti na Ubaro wa Vitambulisho Zanzibar na Kampuni ya ISO ya Israel. iliofanya uchunguzi wa kujuwa ubara wake  ya AYna wa Viwango vya Kimataifa. 
Mkurugenzi wa Idara ya Vitambulisho vya Mzanzibar Mohammed Ama Juma, akijubu maswali yalioulizwa na waandishi wa habari katika hafla ya kukabidhiwa Vyeti vyaUbora wa Utengenezaji wake kwa Kiwango cha Kimataifa.

Mwandishi akiulizaaswali wakati wa sherehe za kukabidhi Vyeti Ofisi ya Vitambulisho Zanzibar.





Waandishi walipata muda wa kuuliza maswali kwa wahisika kutokana na ugawaji na ubora wake.
Vyeti vya Ubora wa kutengeneza Vitambulisho ya Mzanzibar kwa kiwango cha Kimataifa ambazo wamatunikiwa na Taasisi husika ya kuchunguza  Ubora wake na kuwa na kiwango cha Kimataifa walizokabidhiwa katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani.



2 comments:

  1. Wa_Israel bado wanaendelea kuwafanya wa_Zanzibar wajinga, na bado tumelela. Amkeni, hao jamaa wanahamisha data za Wa_Zanzibari na kuchukuwa kwao na kupelekea marekani. Aamkeni, amkeni

    ReplyDelete
  2. Yaani sisi hatujielewi kabisa yaani wayahudi wanatufanya mbumbumbu si uongo, ubora gani wa vitambulisho ambavyo information zake haziko integrated na services yoyote, ningetegemea kitambulisho hicho mtu aweze kuwa na access na baadhi ya services wakati hata hizo barcode hazina effect yoyote ni sawa na kuwa na karatasi la mchele lolote, kwa kweli nashangaa na ISO ya vitambulisho hivyo

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.