Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk . Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu Injinia R.D.Shamra,wa kampuni ya LEA Associates South Asia PVT.Ltd, alipofika Mapofu -Mzambarau Karim, kugagua hatua za ujenzi wa barabara inayojengwa kwa ufadhili wa shirika la MCC la Marekani, akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kaskazini Pemba jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akitoa ushauri kwa Viongozi wakati alipotembelea Ikulu ndogo ya Michweni,alipokuwa katika ziara ya Mkoa wa Kaskazini Pemba jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein,akifungua msikiti wa Ijumaa MasjidImraan, Kiuyu Mkadini alipokuwa katika ziara ya Mkoa wa Kaskazini Pemba jana,(kulia) Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislamu wa Kiuyu Mkadini,baada ya kuufungua Msikiti wa Ijumaa katika Kijiji hicho, Masjid Imraan, alipokuwa katika ziara ya Mkoa wa Kaskazini
Pemba jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein,akitoa maelekezo wakati alipotembelea Bonde la Mpunga la Koowe Kumbi, kuangalia tuta la kuzuia maji ya Chumvi jana akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kaskazini Pemba.(kushoto) Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Dk.Islam Seif Salum.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein,akiagana na Waumini wa Dini ya Kiislamu wa Kiuyu Mkadini,baada ya kuufungua Msikiti wa Ijumaa katika Kijiji hicho, Masjid Imraan, alipokuwa katika ziara ya Mkoa wa Kaskazini Pemba jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Wananchi wakati alipotembelea Bonde la Mpunga la Koowe Kumbi, kuangalia tuta la kuzuia maji ya Chumvi jana akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kaskazini Pemba.
[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
No comments:
Post a Comment