Mashabiki wa Timu ya Hoteli ya Melia wakishangilia timu yao, ambayo tayari imeshalala kwa bao moja,ikiwahamasisha wachezaji wa timu yaoili kuweza kusawazisha ili kuingia fainal.
Mashabiki wa timu ya Nungwi Inn Hotel wakishangilia timu yao katika mchezo wa nusu fainalya kombe la mahote lililofanyika katika uwanja wa mao.
Mchezaji wa timu ya Nungwi Inn kushoto na wa Melia kulia wakiwania mpira katika mchezo wa Nusu Fainal ya Kombe la Mahoteli uliofanyika katika uwanja wa Mao. 
Viongozi wa Hoteli ya Melia wakifuatilia mchezo wa Nusu Fainal kati ya timu yao ya Melia na Nungwi Inn imeshinda 1--0
Mchezaji wa timu ya Melia akiwa na mpira na huku beki wa timu ya Nungwi Inn akijianda kumzuia katika mchezo wa Nusu Fainal iliofanyika uwanja wa Mao, timu ya Nungwi Inni imeshinda 1--0
Mashabiki wa timu ya Nungwi Inn wakimbeba Kocha wao baada ya mchezo kumalizika kwa kuifunga timu ya Melia Hotel kwa bao 1--0
Wafanyakazi wa Hotel ya Melia wakiwapongeza wachezaji wao baada ya kumalizika mchezo wa Nusu Fainal ya Kombe la Mahoteli Zanzibar, timu yaoimetolewa na timu ya Nungwi Inn katika mchezo huo uliofanyika uwanja wa Mao.
No comments:
Post a Comment