Habari za Punde

Dk Shein akutana na uongozi wa Wizara ya nchi afisi ya Rais

 Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi,Pia Katibu Mkuu Kiongozi, Dk.Abdulhamid Yahaya Mzee,(kulia) na Waziri wa nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Mwinyihaji Makame Mwadini,(wa pili kulia) pamoja na Viongozi na maofisa wakiwa katika Ukumbi wa mikutano wa Ikulu Mjini Zanzibar,katika kikao cha Utekelezaji wa Kazi za Wizara hiyo chini ya Mwenyekiti Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani)  jana jioni
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ikulu, katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo,katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar jana jioni
Baadhi ya Watendaji na maafisa wa Idara mbali mbali katika Ofisi za Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Ikulu wakiwa katika mkutano na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika Utekelezaji wa Kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar jana jioni
 
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.