Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Oman nchini Tanzania Mhe Yahya bin Moussa al Bakari ofisini kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo.Mazungumzo hayo yalihusu mambo mbalimbali ya ushirikiano baina ya nchi mbili hizi.
Zaidi ya Tani 600 za ufuta zauzwa Tunduru, Bei yapanda.
-
Tunduru – Ruvuma.
Wakulima wa zao la ufuta katika Wilaya ya Tunduru wameonyesha kuridhishwa
na mchakato wa mauzo kupitia mfumo wa mnada wa wazi, ambapo k...
31 minutes ago
No comments:
Post a Comment