Watanzania wanaoishi New Jersey na New York City. Wanasikitika kutangaza kifo cha mtanzania mwenzao Adolph aka Brian aka Thadeo Lwakajende kilichotokea tarehe 24/04/2013 hapa New Jersey, USA. Mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu inaendelea huko New Jersey. Ili kufanikisha mipango hiyo wanawaomba watanzania wote popote pale walipo wajiunge nao kusaidia kuchangia shughuli hiyo. Unaweza kutuma mchango kwa kutumia paypal adolffuneralcost@gmail.com au katika site hii ya Adolf sending home fund http://dt.tl/adolfsendhomecost .
Tunaomba msaada wako wa hali na mali popote pale ulipo, mzigo huu ni wetu na Adollph ni ndugu yetu, Jamaa yetu, rafiki yetu, mpendwa wetu na Mtanzania mwenzetu. kwa pamoja tunaweza. Kama upo New Jersey, New York na majimbo ya jirani.
Msiba upo
374 Hawthone Terrace,
Mount Vernon, NY 10552
Kwa mawasiliano ya shughuli hizi wasiliana na
Peter Luangisa (917) 681-6971
Rashidi Kamugisha (973) 703-4596
Bernard Kivugo (973) 580-7166
William Vedasto (973) 551-2916
Tunatanguliza shukurani zetu za dhati
No comments:
Post a Comment