Keki maalum iliyoandaliwa kwenye maadhimisho ya miaka 49 ya Muungano wa Tanzania. Sherehe hizi zilifanyika katika Hoteli ya West Inn iliyopo Beijing, China
Balozi Philip Marmo akiteta jambo na mmoja wa wageni walioalikwa kwenye sherehe hiyoWanakikundi cha Sisitambala wakitumbuiza kwenye sherehe za Muungano
Balozi wa Tanzania nchini China, Philip Marmo akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya sherehe hiyo.
No comments:
Post a Comment