Mama Asha akitowa nasaha zake kwa Wanachama wa Hutubaguani baada ya kukizindua rasmin jana na kukichangia shilingi laki nne kutunisha mfuko wao wa kuweka na kukopa.
Baadhi wa wanachama wa Kikundi cha Hatubaguani Mtofaani Mwera kinachojishughulisha na Kazi za kilima cha mbogamboga, kutengeneza sabuni na majiko wakimsikiliza Mama Asha katika uzinduzi huo na kilikusanya mchango wa papo kwa papo cha shilingi laki moja na elfu tisini.
No comments:
Post a Comment