Hapo kale utamaduni wa uvaaji vilemba ulikuwa mahususi zaidi lakini kwa kadri siku zinavyoendelea utamaduni huu umekuwa ukitoweka, licha ya kuwa hutumika mavazi haya wakati wa sherehe za maulidi na harusi na nyengine nyenginezo pia kuna tofauti za ufungaji wa vilemba kutokana na makabila na ulua,
Jee huyu ni mwarabu wa nchi gani ?
Picha na Sabry Juma wa Zanzibar Car Hire
Picha na Sabry Juma wa Zanzibar Car Hire
Si Aboud Enzi huyu?
ReplyDelete