Habari za Punde

Wakaazi wa Muembemakumbi wachagua wajumbe wa Baraza la Katiba

 Wananchi wa Shehia ya Muembemakumbi wakiwa katika kituo chja kupiga Kura kuwachaguwa Wawakilishi wake kuwawakilisha katika Baraza la Katiba katika Wilaya ya Mjini jumla ya Wajumbe watatu watachaguliwa katika uchaguzi huo.

 Wananchi wa Shehia ya Muembemakumbi wakijiandikisha kabla ya kupiga kura kuchagua wajumbe wa Baraza la Katiba
Wananchi wa Shehia ya Muembemakumbi wakisubiri kupiga kura katika kituo hicho kuchagua wajumbe wa baraza la katiba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.