Habari za Punde

Mkutano wa Waandishi kuzungumzia Sheria ya Magazeti.

 Mwanasheria kutoka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar Fatma Saleh, akitowa Mada ya kuhusu Sheria ya Magazeti Zanzibar kwa Waandishi wa Habari, ilioandaliwa na Unesco na Tume ya Utangazaji Zanzibar( ZBC) iliofanyika katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo Kikwajuni, kulia Katibu Mtendaji wa Tume ya Utangazaji Zanzibar Chande Omar.
Katibu Mtendaji wa Tume ya Utangazaji Zanzibar Chande Omar, akizungumza katika mkutano wa kuzungumzia Sheria ya Magazeti Zanzibar ilioandaliwa na UNESCO na ZBC, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo Kikwajuni.
 Waandishi wa habari wa wakifuatilia Mada ikiwasilishwa na Mwanasheria Fatma Saleh, kupitia Sheria ya Magazeti Zanzibar iliofadhiliwa na UNESCO, kwa kushirikiana na Tume ya Utangazaji Zanzibar.




2 comments:

  1. semina hazisisaidii kamahakuna uhuruwahabari nahilinitatizokubwa hapapetu,visiwani ,naombawaandishi,mdaiuhurumfanyekazikwakujiamini

    ReplyDelete
  2. ilokweli,hakunahatakazetimoja,lililohuru

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.