Habari za Punde

Mradi wa Taa za Solar karibu kumalizika

Mafundi wakiunga Taa za Solar katika moja ya barabara ya Michenzani kwenda Mlandege, na kuonekana zikiwaka baada ya kuunganishwa waya, mradi huu wa ufadhili wa China utazinufaisha barabara za Mji Mkongwe kuanzia Mnazi Mmoja, Malindi, na Rahaleo kwa Khamis Machungwa, Mlandege hadi Maisara na kuendelea.  
Mambo ya uungaji wa waya za Taa za Solar ukiendelea kwa kasisi na kampuni iliopewa tenda hiyo, kama akionekana pichani fundi huyo akiunganisha waya hizo katika moja ya nguzo hizo leo mchana.  

1 comment:

  1. A.alaikum
    Bwana Othman
    Kinachonisikitisha hapo ni kwamba huyo fundi kwanza hayuko katika hali ya usalama wa maisha yake,hivi huko nyumbana hakuna health and sefety ?

    Ukimuangalia huyo jamaa juu, kwanza kavaa pensi pili ana viatu ya kanda, tatu hana Visible .

    Inatakiwa awe na safety boot, nguo za kazi maalum ndefu, na visible au VI.

    Hatari kweli na sie tunatoa macho tu, serikali ipoo ?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.