'Chukuwa hiyo' hivi ndivyo ilivyokuwa katika mpambano huu wa vita ya kuku kuoneshana ubabe katika maeneo ya Rahaleo leo hii mchana,na kufanya kuwa onesho la bure na kuwavutia watu waliokuwa wakipita njia na kuwatazama jinsi kila mmoja akionesha ubabe kwa mwenzake.
Hatimae Jogoo mweye rangi nyeupe kushinda katika mpambano huo katika dakika za mwisho baada ya kumvujisha damu jongoo mwekundu.
No comments:
Post a Comment