Habari za Punde

Uzinduzi wa Wiki ya Usalama Barabarani.

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akizindua wiki ya usalama bara barani hapo katika ukumbi wa salama hoteli ya bwawani Mjini Zanzibar.
Kamishna wa Polisi Zanzibar Mussa Ali Mussa akitoa takwimu za ajali na vifo kwa mwaka 2012 na 2012 kwenye uzinduzi wa wiki ya usalama bara barani zilizofanyika katika ukumbi wa salama  bwawani
Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu Zanzibar Mh. Rashid Seif akizungumza katika uzinduzi wa wiki ya usalama bara barani hapo Hoteli ya Bwawani Mjini Zanzibar
Baadhi ya washiriki walioshuhudia uzinduzi wa wiki ya usalama bara barani zilizofanyika katika ukumbi wa salama hoteli ya bwawani Mjini Zanzibar.
Amina Mkombe na Mwanajuma Mkombe wakisoma utenzi kusherehesha kwenye usinduzi wa wiki ya usalama bara barani zilizofanyika katika ukumbi wa salama katika hoteli ya Bwawani Mjini Zanzibar.





No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.