MASHINE nne za gesi ya Oxygen, zilizotolewa na Jumuiya ya Chara hospitali ya Chake Chake pemba, kwa lengo la kupunguza tatizo ambalo lilikuwa ni kilio cha muda mrefu katika hospitali hiyo.
AFISA uwendeshaji Tiba kutoka Jumuiya ya Chara ya Marekani, Ali Mbarawa akimkabidhi daktari dhamana wa hospitali ya Chake Chake Dk Yussuf Ali, mashine nne za gesi ya Oxygen, ambazo zilikuwa ni kikwazao kikubwa kwa Hospitali hiyo. (Picha na Bakari Mussa, Pemba.)
WILCHEA 15 zilizotolewa na Jumuiya ya Chara kwa watoto wenye ulemavu kisiwani Pemba, Makabidhiano hayo yaliyofanyika katika hospitali ya Chake Chake, Pemba. (Picha na Bakari Mussa, Pemba.)
gud , sasa huu msaada utumike kwa wananchi , sio kwenda kuwekwa stoo ili mpaka jamaa yake fulani akiumwa ndio vitolewe, tuache mambo ya kupendelea jamaa zetu tupende usawa kwa wote , maanake kuna maeneo nayajua utakuta hivi vibaskeli mpaka vinaota kutu lakini havitolewi ,nafikiri havizai vikikaa kule stoo au mie sijui?
ReplyDelete