Habari za Punde

Ziara ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Dk Shein, W​ilaya ya Micheweni


Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wapili kushoto) akiangalia Ilani ya chama cha Mapinduzi wakati alipoweka jiwe la msingi Tawi la CCM Michenzani leo akiwa
katika ziara ya Kuimarisha Chama Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini


Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na wananchi na wanachama wa CCM Kwale Tawi la Michenzani Pemba,baada ya kuwababidhi wanachama wapya waliojiunga na CCM Mia Mbili Ishirini na Nne,(224)akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama Wilaya ya Michweni Pemba

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,alipokuwa akimkaribisha Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, kuzungumza na wananchi na wanachama wa CCM Kwale Tawi la Michenzani Pemba,baada ya kuwakabidhi kadi za Chama wanachama wapya waliojiunga na CCM Mia Mbili Ishirini na Nne,(224)akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama Wilaya ya Micheweni Pemba
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea risala ya Tawi la CCM Michenzani,kutoka kwa Mwenezi wa UWT jimbo la Micheweni Sofia Mohamed Mzirai,baada ya kuliweka jiwe la msingi tawi hilo akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama Wilaya ya Michweni Pemba
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea kadi za Wanachama Sitini (60)waliokihama chama cha CUF kutoka Tawi la Maziwa Ngombe,na kuingia CCM,kutoka kwa Faki Hamadi Juma,katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Tawi la CCM Michenzani Kwale Micheweni Pemba,akiwa katika ziara ya Kuimarisha Chama Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba   
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akimkabidhi kadi mwanachama mpya aliyejiunga na CCM Mfaki Hamad Juma,katika sherehe maalum za kuwakabidhi kadi wanachama wapya katika Wilaya ya Micheweni akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama Mkoa wa kaskazini Pemba  
 Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi kadi mwanachama mpya aliyejiunga na CCM Zainab Juma Khamis,katika sherehe maalum za kuwakabidhi kadi wanachama wapya katika Wilaya ya Micheweni akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama Mkoa wa kaskazini Pemba leo 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) na Viongozi wengine wakila kiapo cha utii kwa Chama wakati wa kuwaapisha Wanachama wapya wa CCM katika Tawi la CCM Michenzani leo,katika ziara ya kuimarisha Chama Wilaya ya Michweni Pemba
Wanachama wapya wa Chama cha Mapinduzi na Jumuiya zake wakila kiapo cha utii kwa chama baada ya kukabidhiwa kadi zao na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akiwa katika ziara ya Kuimarisha Chama Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba
Baadhi ya Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM,Kwale Michenzani Wilaya ya Micheweni Pemba,wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) alipozungumza nao katika mkutano akiwa katika ziara ya Kuimarisha Chama Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini  
Mwanamuziki wa kizazi kipya Ibrahim Thabit (IT) akitoa burudani ya Wimbo wakati wa sherehe ya uwekaji wa jiwe la Msingi Tawi la CCM Michenzani katika Kijiji cha Kwale,liliwekwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama Wilaya ya Michweni Pemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.