Habari za Punde

Dk. Shein Safarini Ziara ya Kikazi Nchini China.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif, katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa  Abeid Amani Karume,akielekea Nchini China katika  Zaiara ya Kikazi kwa mualiko wa Serikali mya China
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi  Seif Ali Iddi, katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa  Abeid Amani Karume,akielekea Nchini China katika  Zaiara ya Kikazi kwa mualiko wa Serikali mya China
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Maafisa wa Ubalozi wa China,wanaofanyia kazi Zanzibar, katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa  Abeid Amani Karume,akielekea Nchini China katika  Zaiara ya Kikazi kwa mualiko wa Serikali mya China
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mama Mwanamwema Shein,wakiagana na Viongozi mbali mbali wa Serikali katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa  Abeid Amani Karume,akielekea Nchini China katika  Zaiara ya Kikazi kwa mualiko wa Serikali mya China (Picha na Ramadhani Othman Ikulu)




1 comment:

  1. Aibu gani hii wanayotufanyia wahadimu?
    Kiongozi kwenda china lazama akaagwe na viongozi wote?

    Au kama huyu mzee wetu Abdalla mwinyi si astaafishwe tena ili akalee wajukuu zake!

    Inaonesha Zanzibar yenye watu mil. moja na laki tatu ina viongozi wengi zaidi ya mkoa wa DSM wenye wakaazi mil.4!

    UWAMSHO mko wapi mlipigie kelele na hili??????

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.