Habari za Punde

Ujenzi wa Bandari ya Boti ukiwa Hatua za Mwisho ya Ujenzi wake.


 Jengo la Abiria wanaosafiri kupitia katika bandari hiyo daraja la kwanza kama linavyoonekana pichani likiwa katika hatua ya umaliziaji wake unaoendelea kufanyika katika majengo hayo. 
 Eneo la kupitia abiria wakiwasili katika bandari hiyo ya Zenj.
Ofisi za Kamishenji ya Utalii katika jengo jipya la bandari kama inavyoonekana ikiwa katika kiwango cha kimataifa na hadhi ya kitalii.Ujenzi huu ukiwa katika hatua za mwisho za ujenzi wake unaoendeshwa na Kampuni ya Azam Marine.

3 comments:

  1. Wonderful staff !!! Hii Serikali ipo kwa malengo gani!! I don't Understand !! Kama mtu can d this why not them

    ReplyDelete
  2. hizo nguzo huko juu kama zinaleta mashaka kidogo , ingawa rangi zake zinavutia. tafadhali ziangaliwe vizuri kwa usalama wa abiria , otherwise hongera azam kwa jitihada zako

    ReplyDelete
  3. Sisi kama maiti mazuri tufanyiwetu?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.