Habari za Punde

Usafiri wa Kati ya Pemba na Unguja, Waimarika kwa Boti Mpya kuanza Huduma hiyo.

Usafiri wa kuaminika kati ya Visiwa vya Unguja na Pemba, ukiwa na uhakika wa kwenda na kurudi Pemba , kama wanavyoonekana abiria wa boti ya Royal Express, wakishuka katika boti hiyo wakitokea kisiwani Pemba wakiwasili katika bandari ya Unguja.
 
 Tatizo la usafiri kati ya visiwa hivi imekuwa ya kuridhisha. kutokana na hatua za wafanyabiashara kutowa huduma hiyo ya kwenda na kurudi siku hiyo hiyo.

1 comment:

  1. Hii inatia moyo maana usafiri wa Pemba mi mtihani si baharini si angani.
    Lakini inakwenda mara ngapi kwa wiki na inachukuwa masaa mangapi ?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.