Habari za Punde

Wafanyabiashara Jua Kali Waondolewa Eneo la Darajani

 
Sehemu ya Jua Kali maarufu katika mji wa Zenj kwa Wafanyabishara za mikononi na kuweka katika meza chini likiwa jeupe baada ya Manispaa ya Zanzibar  kupiga marufuku kufanya biashara katika eneo hilo.
 
Kwa muda ,mrefu lakini wafanyabiashara hao hufanya biashara na juzi jana ilibidi kuzuia eneo hilo kufanya biashara ya aina yoyote.
 
Tayari wafanyabiashara hizo za Jua Kali wamehamishiwa Saateni laki bado wako katika eneo hili ambalo tayari limejengwa kwa ajili ya bustani na kuwapa nafasi wanafunzi wa Skuli ya Vikokotoni na Darajani hutumia eneo lao kama hapo mwanzo ilivyokuwa mandhari ya mbele ya skuli hizi lilipokuwa safi na kuweza wanafunzi kutumia eneo lao .

2 comments:

  1. HILI ZOEZI LIWE ENDELUVU, WAKUBWA WASIJETIA UTASHI WAO WA KISASA HILI ENEO HALITAKIWI KUWA NA WAFANYA BIAASHRA UCHARA WASOLIPA HATAKODI KAZIKUWAFANYIA WATU TASHTITI WAMELICHAFUA ENEOLOTE LA DARAJINI WIZI,NGUMI,NA KUZALILISHA WANAKE NIJAMBO LAKAWAIDA MAENEO HAYO

    ReplyDelete
  2. Tatizo la SMZ hawana misimamo ya kuendelea ktk mambo ya maendeleo.

    Eneo pekee ambalo SMZ wanaonesha msimamo ni ktk mambo ya siasa na hii ni kwasababu wanajua wakifanya mchezo wameumia!

    Huu sasa ni zaidi ya mwaka wa 15 suala la darajani linazungumziwa, lakini utekelezaji wa kudumu unashindikana.

    Na hii si kwa Juakali tuu bali hata maeneo mwengine ya hifadhi kama vile: ENEO LA HIFADHI YA NYUMBA ZA MAENDELEO KILIMANI(LIMELIPIMA TENA VIWANJA)

    Eneo la hifadhi la nyumba za kwa MCHINA limepimwa viwanja vya makaazi na biashara kinyume na makusudio!

    Pia, kuna maeneo mengi ya wazi ambayo watu wanajitwalia na kufanya biashara kwa kisingizio cha kufungua maskani za CCM, ukitundika bendera tu ndio kiibali chako!

    Kimshingi, pale Jua kali hapatakiwi kufanyika Biashara hasa kutokana na uwepo wa skuli karibu lakini itakua vigumu kwa vile watu watalalamika "kwa nini wao tu?"

    Suluhisho: SMZ iwe tayari kuchukua maamuzi magumu isimuonee mtu aibu.

    Pia viongozi walio madarakani, watumie vipato vyao vizuri ikiwa ni pamoja na kuwekeza ktk miradi endelevu na kupeleka watoto wao SKULI za UKWELI ikiwezekana hata nje ya nchi ili kuepuka kuja kuilazimisha serikali kuwapa maeneo ya wazi ili wajikimu baada ya kustaafu!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.