Habari za Punde

Ziara ya Makamo Mwenyekiti wa CCM Kusini Unguja


Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kama ishara ya uwekaji wa Jiwe la msingi maduka ya Chama Wilaya Kusini Unguja,akiwa katika ziara ya Kuimarisha Chama juzi

Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka Mwakilishi wa Jimbo la Makunduchi pia Waziri wa Kazi uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika Maalim Haroun Ali Suleiman,alipotembelea Ujenzi wa Ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Wilaya Kusini ya CCM juzi,katika ziara ya Kuimarisha Chama

Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akisikiliza risala ya wanaushirika wa UWT Daima Tupendane,Kusini Makunduchi, baada ya kuweka jiwe la msingi jengo la Ushirika huo,alipofanya ziara ya Kuimarisha Chama Wilaya ya Kusini juzi

Wanaushirika wa UWT Daima Tupendane,wakimasikiliza Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupu pichani) alipozungumza nao baada ya kuweka jiwe la msingi jengo la Ushirika huo,alipofanya ziara ya Kuimarisha Chama Wilaya ya Kusini juzi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.