Habari za Punde

Kombe la Mabenki Zanzibar PBZ na CRDB

Mchezaji wa timu ya BPZ na CRDB wakiwania mpira katika mchezo wa Kombe la Mabenki zinazoendelea kufanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja, timu hizo zimetoka sare ya kutokufungana. 
Mshambuliaji wa timu ya CRDB, akiwa na mpira akijaribu kumpita beki wa timu ya PBZ katika mchezo wa kombe la Mabenki uliofanyika uwanja wa Kikwajuni Mnazi mmoja, timu hizo zimetoka sare ya kutofungana. 
Beki wa timu ya PBZ akiwapita wachezaji wa CRDB katika mchezo wa kombe la mabenki. uliofanyika katika uwanja wa Kikwajuni Mnazimmoja. 
Wachezaji wa timu ya PBZ na CRDB wakiwania mpira
Mchezaji wa timu ya PBZ akiondoa mpira golini kwake katika mchezo wa Ligi ya Kombe la Mabenki zinazofanyika katika viwanja vya Mnazi mmoja.
Kiongozi wa timu ya PBZ akitowa maelekezo kwa wachezaji wa timu yake wakati ikicheza na timu ya CRDB, ikiwa ni wakati wa mapumziko ya kipindi cha kwanza.
Kocha mchezaji wa timu ya CRDB akitowa maelekezo kwa wachezaji wake wakati wa mapumziko.
Mchezaji wa timu ya PBZ akiruka kiuzi cha beki wa timu ya CRDB, katika mchezo wa Kombe la Mabenki.

 

1 comment:

  1. Hivi Viwanja vya Mpira Au Maeneo ya Wazi yanataka yatunzwe kabisa na kua na Mark za Football Line Track kila baada ya Muda.

    Ili Kupatia Mji Mkongwe au miji ya Ungua na Mashamba Nuru na Uzuri. Pesa yakufanyia hivyo ipo nyingi sana kutoka Baraza la Mji la Zanzibar.

    Lakini Ndio hivyo tena wafanyakazi wanaokusanya Kodi huzitia Bindoni na kunua Madhahabu. Watu wanaokusanya Kodi za Packing ni wale wanwake za akna Vuai, Borafya na UVCCM ambao walikua Janjawee wakati wa Karume.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.