Habari za Punde

Matokeo ya Mchezo wa Taifa Stars na Ivory Coast.Bongo

Kwa habari tulizozipata katika mchezo wa kuwania kushiriki Kombe la Dunia kati ya Taifa Stars na Ivory Coast unaochezwa katika Uwanja wa Taifa Dar- es- Salaam.
 
 Timu ya Ivory Coast imeshashinda kwa magoli 2 kwa 1 dhidi ya Tanzania. mchezo huo  ukiwa na watazamaji wengi waliofika kuishangilia timu yao ili iweze kushinda mchezo huo na kusonga mbele kupata nafasi ya kushirika katika kombe la Dunia
 
Taifa Stars imesawazisha goli hilo kipitia kwa mshambuliaji wake Thomas Ulimwengu na kufanya timu hizo zikiwa sare ya 2-2 na mchezo unaendelea kwa mashambulizi ya zamu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.