
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakiagana na Viongozi mbali mbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,wakiondoka nchini leo kuelekea Uingereza kwa safari Maalum ya wiki mbili

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakiagana na Viongozi mbali mbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,wakiondoka nchini leo kuelekea Uingereza kwa safari Maalum ya wiki mbili.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
hahaaa , ndugu zangu wazanzibari , rais wetu anaenda kupewa shule na mabwana zetu , mwenzake Rais kikwete kasharipoti bado yeye kupewa shule , mabwana zetu washaona muungano umefikia mpaka na wao ndio wallikuwa mastadi waliojificha nyuma ya mgongo wa nyerere na karume. Hata ukienda huko rais sheni tuonakuomba uwaambie ukweli wazanzibari hawataki muungano tena , wao uingereza kichwa kinawauma waskotilandi nao hawataki muungano, kwa hio wakuachie tufanye maamuzi wananchi , na kama hawakusikii waambie ikimwagika damu itakuwa ya mzanzibari na mtanganyika , mwingereza haumii wala hapati mkwaruzo.
ReplyDeleteLazma tujiulize kwanini 'WEST' wamelegeza kamba ktk suala la muungano lkn. kwa kusema wameshindwa sio kweli.
ReplyDeleteWale JAMAA kutokana na SKULI wakiamua kulikomalia jambo huwa hawashindwi.
Watazame WAPALESTINA kwani wao hawajachoka kutawaliwa na ISRAEL?
Angalia nchi nyengine za kiarabu zinavyoendeshwa puta, itakua sisi, chambilecho ABDALLA ISSA 'watu wa kurehemewa'?
Sisi ni kuomba Mungu tu, kwa vile tumegeuka kaka zetu waarabu kuchagua 'ujinga bada ya werevu'.
Wazungu, wanazunguka Dunia 'kucreate influence' kwa kutoa 'sponsorship' za masomo kwa baadhi vijana kwenda ULAYA na MAREKANI ili waje wawe viongozi watiifu kwa wazungu.
Kaka zetu waarabu wao wanafuga ndevu tu, pamoja na utajiri walio nao, na sisi wameturithisha, utamuona mtu ana pesa tele lkn. anasubiri SMZ imsomeshee watoto wake eti"Karume esema elimu mbure!
Mimi nawaomba wazanzibari wa UK ZAWA Wamuulize Dr. Sheni Kwanini alisema Haitambui Tume ya Maridhiano Wakati ni Tume iliopitishwa na Wananchi wa Zanzibar ambao ndio waliomchagua yeye kua hapo alipo leo. Kibushuti Mkubwa.. Huyu Mzee Mshenzi kweli kweli PIMBI.. Na Mkewe Bibi Pimbi.. Anataka atuondolee Amani.. CCM wanaona wanashindwa hawatapata Nchi 2015.. Kule Tanganyika wameanza Kutaka Kuwauwa Viongozi wa Chadema. Na Askari Polisi wapo behinds CCM.
ReplyDeleteHATAMBUI KWA KUWA IMETEKWA NA UAMSHOCUF, HAWAONI WALA HAWASIKI WANATAKA WA TUFITINISHE NA NDUGUZETUBURE WAO SIWAEE WA PEMBA WASHAKWENDA UN, KUDAI SASA SHANGE LANINI?
ReplyDeleteMimi UWAMSHO nawakubali kwa matusi tu!
ReplyDeleteAwe unguja, awe Pemba, Bara au hata huko UK..wao ustaarabu hawana ni kutukana watu tu!
Lakini si shangai wengi kati ya vijana waliokimbilia UK ukitoa wale ambao SMZ iliwaharibia maisha, tunawajua..wekimbilia kubwaga mabungo na kuvua bibombwe!
Mimi kinchonishangaza ni hii tabia isiyokuwa na faida yoyte, anapoondoka Rais kwenda nje au kurudi nyumani halaiki ya viongozi na maafisa wa SMZ kuacha kazi zao zote na kumlaki Raisi ikiwa sisi ni nchi masikini tunafanya mambo kama haya yasiokuwa na faida yoyote kwa Taifa. Wenzetu nchi zilizoendelea au nchi zenye fedha hawapotezi muda wao kwa mambo kama haya. Sihangai kwa tabia kama hizi na nyengine tele kwamba ndio maana tunabakia kila siku kuwa omba omba.
ReplyDeletesio hivyo tu akija watu waache kazi waje kucheza ngoma nk , mbona viongozi wa mataifa ya nje hawana mambo haya ya kipuuzi ingawa wana utamaduni wao, lakini huoni watoto wa shule kuacha shule kupokea viongozi
ReplyDeleteNjaa mbaya! mambo ya kujipendekeza hayo, si unaona wengine mpaka leo wameshindwa kustaafishu...!
ReplyDelete