Mchezo wa fainali za kushiriki Kombe la Dunia unaofanyika katika uwanja wa Taifa Dar, Timu ya Ivory Coast ikiongoza kwa mabao 3-2 mchezo ukiwa katika mapumziko ya kipindi cha kwanza timu yetu ikiwa imeshalala kwa mabao 3 kwa 2 balo la tatu la Ivory Coast lilifungwa kwa njia ya penenti na Yaya Toure baada ya mchezaji wa Ivory Coast kufanyiwa fauli katika dadiki ya 42 ya mchezo kipindi cha kwanza
kumalizika kwa timu hiyoikiongoza kwa mabao 3-2.
No comments:
Post a Comment